Lugha: Kiswahili

Je ngono ya kulazimishwa (kubakwa) hutokea mara nyingi katika jamii yetu?

Chagua jibu: [NDIO] au [HAPANA]

Jibu: NDIO. Kwa bahati mbaya, vijana balehe wengi wanajikuta wakibakwa kwa viwango vinavyongezeka. kubakwa ni kubaya sana daima. Kubakwa au ngono ya kulazimishwa ni tatizo la kubwa kwa mtu yeyote huwa na madhara ya muda mrefu na ni vigumu kutibika (kimwili na kiakili). Kama unajua mtu ambaye amekuwa akilazimishwa kufanya ngono bila kupenda, wanahitaji msaada wako sasa kuliko kipindi chochote. Kumsikiliza ni mwanzo mzuri. Kuwatia moyo kuzungumza na daktari au muuguzi ili waweze kupata msaada wowote wa matibabu muhimu. Akimuelezea mtu mzima anayemwamini ni hatua nyingine nzuri kuchukua.

Swali Linalofuata:

The Internet of Good Things