Lugha: Kiswahili

Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anayekuzidi umri sana ni hatari.

Chagua jibu: [KABISA] au [SI KWELI]

Jibu: KABISA. Kuwa katika mahusiano na mwanaume mtu mzima na tajiri ni hatari sana, kwa sababu hiyo ina maana unaweza kuwa na madaraka kidogo juu ya mahusiano. Kwa kukosekana kwa usawa wa madaraka, unaweza ukakosa kuwa na udhibiti wa kufanya maamuzi yako mwenyewe. Mahusiano, katika hali yake ya ubora, ni kuwa na usawa na kuheshimiana.

Swali linalofuata:

The Internet of Good Things