Lugha: Kiswahili

Marafiki zangu hutumia dawa za kulevya. Madawa ya burudani hayataniumiza mimi

Chagua jibu: [KWELI] au [SI KWELI]

Jibu: SI KWELI! Madawa ya kulevya yanaweza kuathiri vibaya maisha yako kwa muda mrefu, na uwezekano wa kudumu. Fikiria mara mbili kabla ya kujiunga na marafiki zako. Kama haiwezekani kutumia muda pamoja nao bila kutumia madawa, pengine ni bora kwa wewe kufikiria kukutana na marafiki wapya au kuanza burudani mpya.

Angalia makundi haya ya michezo na shughuli vilabu vya karibu na wewe: FEMINA HIP: Piga; +255 222700743, +255 222700742, tuma ujumbe kwenda +255 753003001

Swali linalofuata:

The Internet of Good Things