Lugha: Kiswahili

Huduma ya upimaji na ushauri nasaha (Tayoa: piga 117)

huduma za upimaji na ushauri nasaha bure leo

TAYOA inatoa taarifa na ushauri nasaha kwa kwa vijana kwa kupitia huduma ya ushauri wa mabadiliko ya tabia kwa usiri, na taarifa na huduma za rufaa.

Tuma ujumbe kwenda namba 15017 au Piga 117.

The Internet of Good Things