Lugha: Kiswahili

Je Kama mimi nina mahusiano ya jinsia moja, ninaweza kupata VVU?

Chagua jibu: [NDIO] au [HAPANA]

Jibu: NDIO –KILA MTU– bila kujali aina ya ujinsia, iwe wewe unashiriki ngono ya jinsia moja au ngono ya jinsia tofauti bila kinga - upo katika hatari ya kupata virusi vya ukimwi.

Watu wanaofanya biashara yangono au kushirikiana sindano wakati wa kutumia madawa ya kulevya pia wapo katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU.

Hapa Tanzania Bara karibu 25% ya Wanaume wanaoshiriki ngono ya jinsia moja wana maambukizi ya VVU.

Swali linalofuata:

The Internet of Good Things