Kuhusu Anko Cranky

Anko Cranky hujenga ustahimilivu dhidi ya upotoshaji wa habari

Sote tunamjua mtu mtata ombaye anafikiri anajua zaidi kuliko wanasayansi. Ila sasa, unafanyaje kuelewa hoja zake na nadharia? Njia ya kuelewa mtu kama huyu ni kujua mbinu anazotumia kujaribu kukupotosha. Katika mchezo huu, Anko Cranky anakufundisha mbinu za upotoshaji anazotumia kutia shaka juu ya chanjo. Kadri unapozidi kufahamu mbinu hizi, utakuwa na ustahimilivu zaidi dhidi ya upotoshaji wa habari kuhusu chanjo.

Yaliyomo na katuni zimetengenezwa na John Cook na Wendy Cook.

Hakimiliki © 2023 John Cook

crankyunclevaccine.org

Mchezo umetengenezwa na Goodbeast

Privacy| Contact Us

Vyanzo vya ukweli wa afya vilivyotajwa katika Cranky Uncle Vaccine

Iliyotangulia