iogt vectors 3_useful tips for 1-2 years.png

Dondoo za muhimu kwa ajili ya watoto wa mwaka mmoja hadi miaka miwili!

Kucheza pamoja.

DONDOO NA MIDOLI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KWA AJILI YA WATOTO WA MWAKA MMOJA HADI MIAKA MIWILI

  • Mtoto wa mwaka mmoja kuigiza mchezo ni rahisi sana. Mpe mahitaji ya kuchezea na kuzitazama wakiigiza wengine. Kijiko na sufuria na uwaache waigize kupika.

  • Ni vizuri kugundua na kuwasifu, watoto wachanga kwa vitu wanavyojaribu kujifunza kufanya.

  • Jaribu kuelewa maneno ya mtoto na kuangalia ili kuona kama wewe unaelewa nini anachokisema.

  • Daima tumia maneno mema kumpoza mtoto alieumia na kusifu juhudi ya mtoto.

  • Tumia midoli kama vile ya kushonesha na kuunga vitu, vyombo na vibanio vya nguo.

Makala inayofuata:

Ifuatayo