child communucation_useful tips for 1-2 years copy.png

Kucheza na kuwasiliana na watoto wa miaka miwili + watoto wadogo

Kuainisha, kuhesabu na kuongea!

  • Watoto wanajifunza kuvipa vitu majina, kuainisha na kuhesabu.

  • Watoto wanaojifunza kuongea hufanya makosa mengi. Hata hivyo kuwarekebisha, kutawakatisha tamaa ya kuongea.

  • Hadithi, nyimbo, na michezo huwandaa watoto kusoma na kuwasaidia kuboresha jinsi wanavyoongea.

  • Hadithi za jadi, nyimbo, na michezo inasaidia kuwafunza watoto namna ya kuishi.

  • Watoto wanaweza kujifunza kuongea kwa usahihi - kwa kusikiliza watu wengine wanaoongea kwa usahihi.

  • Watoto wanaweza kujifunza na kuelewa kipi ni kizuri na kipi ni kibaya.

  • Pia watoto huwa wanaiga yanayofanywa na kaka, dada na ndugu wengine kwa sababu wangependa kujua ni kipi kizuri na ni kipi kibaya.

  • Watoto hujifunza vyema kama wakifundishwa namna ya kuishi vyema badala ya kukaripiwa wanapofanya kufanya vibaya.

Makala inayofuata:

Iliyotangulia