iogt vectors youth images_how are your answers used.jpg

Jinsi gani majibu yako yanatumika?

Wewe ni wakala wa mabadiliko

Majibu ya maswali ya U-Report huoneshwa kwa wazi katika tovuti ya https://tanzania.ureport.in/polls/ na watu wetu wa karibu ni (NGOS, Serikali, jamii ya raia, Mawakala wa UN) hutumia kuweza kufanikisha madaliko kwako na kwa jamii yako. Hatutafuti maoni bila kuwa na sababu, ila tunashirikisha vijana katika mambo yanayowaathiri ili waweze kuhamasika katika utoaji maamuzi.

Iliyotangulia Ifuatayo