iogt vectors youth images_what is u repot.jpg

Nini maana ya U-Report?

Sauti muhimu!

U-Report ni chombo kikubwa cha bure kwa kutumia ujumbe kilichoundwa ili kuwapa vijana na jamii nafasi ya kupaza sauti zao kuhusu mawazo ya yale mambo wanayo yajali sana, kutoa taarifa kwa kile kinachoendelea katika jamii na kupokea ujumbe muhimu, na wakati mwengine taarifa za uokoaji wa maisha. Vijana hushiriki kwa wiki katika mambo mbalimbali yanayo waathiri kwa kujibu maswali kupitia simu zao. Majibu huoneshwa kwa wazi katika tovuti, kisha UNICEF pamoja na washirika wengine hutumia kutimiza mabadiliko.

Ifuatayo