iogt vectors youth images_how do you stop .jpg

Jinsi gani mtu anaweza kuacha kuwa U-Reporter?

Unaweza kuacha muda wowote unaohitaji

U-Reporters wanaweza kuacha muda wowote kwa kutuma neno, ONDOA, ambayo itawataarifu kujiondoa kwake. Kama watabadili maamuzi, wanaweza kujiunga tena kwa kutuma neno, ‘SAJILI’ kwenda namba 15070.

Iliyotangulia Ifuatayo