iogt vectors youth images_how much do u reported.jpg

Kiasi gani U-Reporter wanapaswa kulipa kwa U-Report?

Ni ya BURE na itaendelea kuwa ya bure.

Hakuna! Ni ya BURE na itaendelea kuwa ya bure. U-Report ni ya bure kwa watumiaji ili iweze kutumika na kila mmoja – Hii ndio kanunu kuu ya utaratibu tunayoidumisha.

Iliyotangulia Ifuatayo